Jumatano, 30 Oktoba 2013

JIUNGE NA DINI YA KIAFRIKA


 Unataka  mafanikio  katika  maisha  yako ?  Unatafuta  utajiri  ?  Biashara  yako haiendi  vizuri ?  Unatafuta  mke  au  mume  ?  Unasumbuliwa  na  Matatizo  Ya  Uzazi ?  Unasumbuliwa  na  Magonjwa  Sugu  ?  Unasumbuliwa  na  madeni ?  Unakabiliwa  na  kesi ?  Unaandamwa  na  mikosi  na  nuksi? Unasumbuliwa  na  majini  na  mapepo  wachafu  ? Unasumbuliwa  na  laana  ya  ukoo  ? Unataka  kupata  suluhisho  la  matatizo  yanayo  kukabili  ?  JIUNGE  NA  UNGOAFRIKA  SPIRITUAL  MOVEMENT  (  USMO ). Ni  Taasisi  ya  Kiimani  inayo  wasaidia  wanadamu  kukabiliana  na  matatizo  mbalimbali  yanayo  wakabili. WASILIANA  NASI  KWA  SIMU : 0683528250


JOIN UNGOAFRIKA SPIRITUAL MOVEMENT

UNGOAFRIKA   SPIRITUAL  MOVEMENT ( USMO )   have contributed immensely towards the upliftment of human kind.
 We initiate members into the most powerful spiritual reign for richness. We handle cases like... Success in business, Do as i say, Be my wife and be my husband forever, Money invocation,Awarding contract, Winning court cases, land cases, Winning pool and lotto, Exam sucess,Life protection, Be a super model, etc....
 We offer instant settlement  to every new members inorder to establish into any business of their choice.  The followers of this organization has attained the highest consciousness of power,who will rule the world spiritually for 2000 years beginning from 1976.Our Objectives is to achieve your heart desires. Contact the earthly representative of the ASCENDED MASTERS of THE SAT GOPINATHA spiritual guide in Africa.we  also undertake the followings::  BUSINESS BOOMING CHARMS,AVERSION OF SUDDEN DEATH,VISIONARY POWER,HEALING POWER ,SPIRITUAL FORTIFICATION,CAREER UPLIFTING,MARRY ME ALONE/LOVE ATTRACTION, REMOVAL OF CURSES  e.t.c
we conduct initiation into the highest mysteries for SOCIETY FOR WEALTH AND POWER.

For more details and membership, contact  0683528250


TUNAUZA BIDHAA NA VIFAA MBALIMBALI VYA KIROHO ( SPIRITUAL ITEMS & PRODUCTS )

                                AFRIKAN  SPIRITUAL   PRODUCTS

Tunauza  vifaa  ( items ),  bidhaa (  products  )   pamoja  na  mitishamba ( Both medicinal  &  spiritual  herbs )  kwa  ajili  ya  matumizi   mbalimbali    ya  mwanadamu.. Baadhi  ya  bidhaa  tulizo  nazo  ni  pamoja  na :

i.                     Mitishamba  inayo  tibu  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali  yanayo  msumbua  mwanadamu.
ii.                  Mitishamba  yenye  nguvu  za kiroho  inayo  tumika  katika shughuli  mbali  za  maisha  ya  mwanadamu.
iii.                Vifaa  mbalimbali  vinavyo  tumika  kwenye  shughuli  mbalimbali  za  kiroho.

Bidhaa  zetu  zinatoka  katika  mikoa  yote  ya  Tanzania  bara  na  visiwani, nchi  zote  za   kiafrika, India, Mashariki  Ya  Kati, Afrika  Ya  Kaskazini  na   Maghreb  Region.
Tunaptikana  jijini  Dar  Es  salaam.


Wasiliana  nasi  kwa  Simu  :  0683528250

Jumatano, 18 Septemba 2013

UKWELI KUHUSU SAYANSI YA KIAFRIKA.


·         UKWELI  KUHUSU    SAYANSI  YA  KIAFRIKA.
·                   
·         “   MAARIFA  SAHIHI   NDIO  JIBU  LA  KILA KITU “
·         Sayansi  maana  yake  ni  maarifa .  Tunapo zungumzia  dhana  ya  sayansi  ya  kiafrika , tunakuwa  tunamaanisha matumizi  ya  maarifa  ya  kiafrika  katika  kukabiliana  na  mazingira  ya  mwanadamu  pamoja  na  changamoto  mbalimbali  zinazo  mkabili . Tafiti  mbalimbali  za  ki  akiolojia  na  ki-anthropolojia  zinaonyesha  kuwa  sayansi  ya  kiafrika  imekuwapo  kwa  takribani  miaka  bilioni  mbili sasa, hii  ikiwa  na  maana  kuwa  sayansi  ama  ustaarabu  wa  kiafrika  ndio  ustaarabu  mkongwe  kupita  ustaarabu  mwingine  wowote  ule  katika  sayari  ya  dunia.  Hata  ustaarabu  wa    jamii  mbalimbali  duniani  kama  vile  waajemi, wayunani (Ugiriki  ya  kale ), wamisri, wasumeri ( Mesopotamia/babiloni  )  ya  kale nakadhalika,  unatokana  na  ustaarabu  ambao  msingi  wake  ni  sayansi  ya  kiafrika.

·         Sayansi  ya  kiafrika  imethibitika  kumsaidia  mwanadamu    katika  kukabiliana  na  mazingira  yake  kwa  zaidi  ya  asilimia  tisini  na  tisa (99%).
·         Kwa  bahati  mbaya  sana, sayansi  ya  kiafrika  imepewa  jina  baya  kwa   kuitwa  uchawi   na kupigwa  vita  mbaya tangu  mamia  ya miaka  iliyopita, lengo  kuu   likiwa  ni  kumuondolea  mwanadamu  uwezo wa  kiungu  ulio  wekwa  ndani  yake  wa  kukabiliana  na  changamoto  mbalimbali  zinazo  mkabili   katika  maisha  yake  ya  kila  siku.
·         Hata  hivyo  watu  hawa   walio  mstari  wa  mbele  katika  kuipiga  vita  sayansi  ya  kiafrika, bado  wanaendelea  kuitumia  sayansi  ya  kiafrika  katika  maisha  yao  ya  kila siku japo  kwa  usiri  mkubwa  sana,  ilihali  wakati  huo  huo  wakiendelea  kuipiga  vita  sayansi  hii. Watu  hawa  wanataka   maarifa  haya  yawe  ni  kwa  watu  wachache
·         “ The  Choosen  Few “  huku  mamilioni  ya  walio   baki  wakiendelea   kuishi  katika  giza  bila  kujua  kitu  chochote  kile  kinacho  endelea  kwenye  maisha  yao. Hali  hii  imewafanya  waendelee  kuitawala  dunia  kwa  muda  mrefu  sana  kwa  kutumia  nyenzo  mbalimbali  za  ku-control  fikra  za  wanadamu. Hofu  kuu  ya  watu  hawa    ni  kwamba, endapo  kila  mwanadamu  ataifahamu  vyema  misingi  ya  sayansi  ya  kiafrika, itakuwa  vigumu  sana  kwa  wao  kumtawala  kwa  sababu  kila  mtu  atakuwa  na  uwezo  wa  kuyatawala  mazingira  yake  na  kukabiliana  na  changamoto  za  aina  yoyote  ile zinazo  yakabili  maisha  ya  kila  siku  ya  mwanadamu…
·       Sayansi  ya  kiafrika  humjengea  mwanadamu  uwezo  wa  kuwa  na  mamlaka  juu  ya    vitu  vyote  vilivyopo  hapa  duniani, vinavyo  onekana  na  visivyo  onekana. Humpa  uwezo  wa  kuvitiisha  vitu  vyote  vilivyo  na  uhai  na  visivyo  na  uhai.. Kwa  ufupi  inamfanya  kuwa  na  umoja  na Mungu.

·       Miongoni  mwa  mambo ya  kawaida  kabisa   anayo  fundishwa   mwanadamu  katika  sayansi  ya  kiafrika  ni  pamoja  na  :

·         Somo  la  AKILI-UMEME-SAUTI  ama  MIND-ELECTRICITY-SOUND . Elimu   hii  humpa  mwanadamu  uwezo  wa   kuwa- control  wanadamu  wenzake  kifikra, uwezo  wa  kuwatawala  majini  na  viumbe  wasio  onekana  na  macho  ya  nyama, uwezo wa  kuumba  vitu, mambo  na  hali  za  aina  mbalimbali  kwa  kutumia  maneno, uwezo  wa  kupeleka  heri  au  shari  kwa  wanadamu, wanyama, mimea  na  roho, uwezo  wa  kuvitiisha  viumbe  vyote  vya  nchi  kavu,uwezo  wa  kutumia  nguvu  ya  akili  katika  kufanya  mambo  mbalimbali  nakadhalika.
·          Somo  la  UMEME  & HEWA  au  ELECTRICITY  & AIR. Elimu  hii  humpa  mwanadamu  uwezo  wa  kupaa angani, uwezo  wa  kuitiisha  anga  na  viumbe  vyote  vya  angani, uwezo  wa  kuwasiliana  na   kuvi control  viumbe  vinavyo  ishi  kwenye  upepo, uwezo  wa  kupeleka  ujumbe  kutoka  sehemu  moja  ya  dunia  kwenda  sehemu  nyingine  yoyote  ile, uwezo  wa  kusafiri  angani  nakadhalika.
·         Somo  la  NECROMANCIA  ama  NEGROMANCIA ambalo  humpa  mwanadamu  uwezo  wa  kuwasiliana  na  kuzungumza  na  roho za watu  walio  kwisha  kufa.
·          Uwezo  wa  kuwasiliana  na  viumbe  vya  mtoni, ziwani  na  baharini
·         Mamlaka  ya  kuvitiisha   viumbe  vyote  vya  duniani, vya  nchi kavu, baharini, na  angani, vinavyo  onekana  na  visivyo  onekana.
·         Uwezo  wa  kuona  vitu  visivyo  onekana  na  wanadamu
·         Uwezo  wa  kusikia  sauti zisizo  sikiwa  na  wanadamu.
·         Uwezo  wa  kufanya  mambo  katika  namna  ya  kiungu.
o   Hayo  ni  moja  kati  ya  maaarifa  machache  yanayo  patikana  katika  sayansi  ya  kiafrika.


·       Kwa  ufupi, sayansi  ya  kiafrika  inampa  mwanadamu  mamlaka  kamili  ya  kuwa  kitu  kimoja  na  Mungu.  Mfalme  Suleiman  ni  miongoni  mwa  wanadamu  walio  pata  bahati  ya  kupewa  maarifa  haya, habari zake  nadhani wengi  wetu  tuna zifahamu.
·       Endapo  wanadamu  watazingatia  misingi  ya  sayansi  ya  kiafrika, basi  wataweza  kuyatawaka  mazingira  yao  pamoja  na  changamoto  mbalimbali  zinazo  wakabili  kwa  kiwango  kikubwa  sana.
·      MUNGU  NI  NANI KWA  MTAZAMO  WETU?
·      Kwetu  sisi  MWENYEZI  MUNGU  ni  NGUVU  KUU    YA  UHAI ( THE  MOST GREATEST  FORCE  OF  LIFE  ). Nguvu  Ya  Uhai  ni nini ? Nguvu  ya  uhai  ni  roho  ama  nishati  inayo  vifanya  viumbe  viishi na/ama  viwepo au  ni  roho  ama  nishati  inayo  weka  uhai  kwenye  viumbe  vyote  vinavyo onekana  na  visivyo  onekana.  Hivyo  basi  kwetu  sisi MWENYEZI  MUNGU  ndio  NGUVU  KUU  YA  UHAI, kwa  maana  yeye  ndio  chanzo  cha  uhai wa  kila  kiumbe  cha  hapa duniani, kinacho  onekana  na  kisicho  onekana.
·      Wakati  mwingine  huwa  tunamtaja  Mungu  kama  MOVENS  IMMOBILE yaani  UNMOVED  MOVER.
·    UHUSIANO  KATI  YA  MUNGU  NA  MWANADAMU.
·    Sisi  tuna  amini  kuwa  MUNGU  NA  MWANADAMU  ni  kitu  kimoja. Mwanadamu  anatoka  kwa MWENYEZI  MUNGU. Kama   nilivyo  eleza  hapo  awali, Mwenyezi  Mungu  ndio  NGUVU  KUU  YA  UHAI, ndio  CHANZO  KIKUU  CHA UHAI, hivyo  basi  kila  kiumbe  chenye  uhai  kinatoka  kwenye  chanzo cha  uhai, nguvu  inayo  mfanya  mwanadamu  aishi, inatoka  kwa Mungu, nguvu  hiyo  ni  Mungu  mwenyewe, kwa  maana  nyingine  mwanadamu  ni muungu  mdogo, Mungu  anajidhihirisha  kupitia  huyu mwanadamu. Kwa  lugha  nyingine  ni  kwamba, wanadamu  ni  vidhihirisho  vya  pembeni  vya  CHANZO  KIKUU  CHA  UHAI. Vidhihirisho  hivi, vinapotambua   nguvu  iliyopo  ndani  yake  na  kuanza  kuitumia  vyema, NGUVU  KUU  YA  UHAI  ambayo  ndio  chanzo  kikuu  cha  uhai, hujidhihirisha  pamoja  navyo, inapofikia  hatua  hii, vidhihirisho  hivyo  huwa kitu  kimoja  na  kidhihirisho  kikuu  na  hufanya  mambo  yake  katika  mfano  wa  CHANZO  KIKUU  CHA  UHAI.  YESU  alilitambua  hili  ndio  maana  ali  fanikiwa  ku atain eternity  akiwa  duniani, mara  nyingi  alikuwa  akisema “ MIMI  NA  BABA  TU  KITU  KIMOJA “. Hapa  alimaanisha  kuwa  yeye  na  Mungu  ni  kitu  kimoja, sio  katika   form ( muundo)  bali  katika  consciousness. Wayahudi  hawakulitambua  hili  ndio  maana  walidhani  anakufuru.
·    Kwa  wale  mnao  taka  kujifunza  zaidi  kuhusu  sayansi  ya  kiafrika, tafadhali  tuandikieni :  ungoafrika@gmail.com   au  Tembeleeni http://www.ungoafrika.blogspot.com
·    SIMU : 0686865167
·    MAARIFA  NDIO  JIBU  LA  KILA KITU.

Jumapili, 1 Septemba 2013

JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA

JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA

UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa tunatoa kozi maalumu ya kujifunza kozi iitwayo “ SAYANSI YA AFRIKA”. Katika kozi hii utajifunza namna ya kutumia NGUVU YA SAYANSI YA KIAFRIKA katika kukabiliana na masuala mbalimbali yanayo zunguka maisha ya kila siku ya mwanadamu kama vile (mapenzi/mahusiano, ndoa), biashara, kazi, ulinzi na magonjwa.
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, na tunao wataalamu walio bobea katika sayansi ya kiafrika kutoka katika makabila yote ya Tanzania bara na visiwani. Wataalamu wetu wana ujuzi na uzoefu wa SAYANSI YA KIAFRIKA kutoka katika mataifa yote ya kiafrika,Arabuni na India.
Tupo jijini Dar Es salaam.
Masomo kuanza, tarehe 01 OKTOBA 2013
Kujiandikisha, tuandikie kupitia barua yetu : ungoafrika@gmail.com

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 SEPTEMBA 2013.
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, “ SAYANSI YA KIAFRIKA”

KWA PAMOJA TUUNGANE KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA, MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA MWAFRIKA.
Kwa updates kuhusu taasisi yetu na shughuli zetu, endelea kutembelea:
http:// www. ungoafrika.blogspot.com

Jumatano, 28 Agosti 2013

KARIBUNI UNGO AFRIKA


 UNGO AFRIKA  ni  Taasisi  inayo  jihusisha  na  ku promote, mila, desturi  na  tamaduni  za  mwafrika, kuanzia  sayansi, muziki, filamu, mavazi, vyakula,matibabu, familia, ndoa,mazishi na  mfumo mzima  wa  maisha  ya  mwafrika  Neno  UNGO  linatokana  na  sayansi  maarufu  ya  kiafrika  ambapo  waafrika  wenye  ujuzi  wa  sayansi  hii,  hutumia  UNGO  kusafiri  kutoka  sehemu  moja  kwenda  sehemu  nyingine.  Kufahamu  kuhusu  shughuli zetu endelea  kutembelea  blogu  yetu  kila  siku.

UNGO  AFRIKA: MLINZI  WA  AMALI  ZA  MWAFRIKA.